-
Tarehe
30/03/2018 - 2/04/2018
-
Mahali
Mnazi Mmoja Ground, Dar es Salaam
-
HADHIRA
Wadau wa tasnia ya maziwa, Taasisi za Serikali, Vikundi vya mbio za polepole na wadau wengine
KUHUSU TUKIO
Bodi ya Maziwa Tanzania kwa kushirikiana na Dar Jogging wanakuletea Tamasha la Maziwa na mbio za polepole zinazotarajiwa kufanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 30 Machi hadi 02 Aprili,2018. onanza la
Kauli Mbiu ya bonanza hiyo ni "Kunywa Maziwa Furahia Maisha: Fanya Mazoezi kwa afya yako" literally means “Drink Milk Enjoy Life: Exercise is vital for your Health”.
Lengo la Bonanza: Kuwaeleimisha wanamichezo kuwa Maziwa ni kinywaji mbadala ya vinywaji vya kuongeza nguvu na kurudisha maji mwilini